NAMBA HAZIDANGANYI:TAKWIMU ZA KAGERA SUGAR VS TOTO AFRICAN KUELEKEA MECHI YAO YA VPL KAGERA SUGAR FC leo wanaikaribisha Toto African Uwanja wa Kaitaba katika mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Hapa chini ni matokeo ya timu hizo tangu mwaka 2009 kwenye mechi za ligi kuu.
0 comments:
Post a Comment