Friday, October 14, 2016

KABLA ya mechi za kesho za Ligi kuu soka ya England, Msimamo unaonesha Manchester City wapo kileleni kwa pointi 18 walizovuna kwenye mechi 7 walizocheza ambapo wameshinda 6 na kufungwa moja.
Tottenham wanashika nafasi ya pili wakijikusanyia pointi 17 katika mechi 7 walizoshuka Dimbani. Wameshinda 5 na kutoka sare 2.
Arsenal wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 16 katika mechi 7 walizocheza ambapo wameshinda 5, sare 1 na wamepoteza 1.
Hapa chini Tazama nafasi ya timu yako kwenye msimamo:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video