Nimeubatiza mchezo huo Mini Clasico nikiufananisha na
mchezo wa pili kwa ukubwa nchini Hispania, Real Madrid vs Atletico
Madrid. Mchezo wa kwanza nchini humo ni El Clasico; Real Madrid vs
Barcelona.
Yanga na Azam zimekuwa na ushindani mkubwa sana tangu zilipoanza kukutana Oktoba 15, 2008.
Ndani ya Ligi Kuu, timu hizi zimelingana kila kitu. Kwa ujumla zimekutana mara 26.
Yanga wameshinda mara 10
Azam wameshinda mara 9
Yanga wamefunga mabao 37
Azam wamefunga mabao 34
Azam wameshinda mara 9
Yanga wamefunga mabao 37
Azam wamefunga mabao 34
Rekodi kamili ni kama ifuatavyo
1. LIGI KUU (2008/09-2015/16)
1. LIGI KUU (2008/09-2015/16)
Wamecheza mechi 16
Yanga wameshinda 5
Azam wameshinda 5
Wametoka sare 6
Yanga wamefunga mabao 25
Azam wamefunga mabao 25
Yanga wameshinda 5
Azam wameshinda 5
Wametoka sare 6
Yanga wamefunga mabao 25
Azam wamefunga mabao 25
2. KAGAME CUP
Wamekutana mara mbili
2012: Yanga 2-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 3-5)
2012: Yanga 2-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 3-5)
3. NGAO YA JAMII
Wamekutana mara nne
2013: Yanga 1-0 Azam
2014: Yanga 3-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 8-7)
2016: Yanga 2-2 Azam (pen. 1-3)
2014: Yanga 3-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen. 8-7)
2016: Yanga 2-2 Azam (pen. 1-3)
4. MAPINDUZI CUP
Wamekutana mara mbili
2012: Yanga 0-3 Azam
2016: Yanga 1-1 Azam
2012: Yanga 0-3 Azam
2016: Yanga 1-1 Azam
5. MECHI YA HISANI KUCHANGIA WALEMAVU
Wamekutana mara moja
2011: Yanga 0-2 Azam
2011: Yanga 0-2 Azam
6. FA CUP
Mara moja
2016: Yanga 3-1 Azam
2016: Yanga 3-1 Azam
Jumla wamkutana mara 26 kwenye mashindano yote.
Yanga wameshinda mara 10
Azam wameshinda mara 9
Yanga wamefunga mabao 37
Azam wamefunga mabao 34
Azam wameshinda mara 9
Yanga wamefunga mabao 37
Azam wamefunga mabao 34
WAFUNGAJI WANAOONGOZA
1. John Bocco:
Mabao 12.
ligi kuu 10
mapinduzi Cup 1 (2012)
mechi ya hisani kuchangia walemavu 1 (2011)
1. John Bocco:
Mabao 12.
ligi kuu 10
mapinduzi Cup 1 (2012)
mechi ya hisani kuchangia walemavu 1 (2011)
2. Kipre Tchtche
Mabao 8
Ligi Kuu 5
Mapinduzi Cup 3 (2012 mawili, 2016 moja)
Mabao 8
Ligi Kuu 5
Mapinduzi Cup 3 (2012 mawili, 2016 moja)
3. Didier Kavumbagu
Mabao 5
Ligi Kuu 4( Yanga 3, Azam 1)
FA Cup 1 (2016)
Mabao 5
Ligi Kuu 4( Yanga 3, Azam 1)
FA Cup 1 (2016)
4. Hamis Kiiza:
Mabao 5
Ligi Kuu 4
Kagame Cup 1 (2012)
Mabao 5
Ligi Kuu 4
Kagame Cup 1 (2012)
5. Boniface Ambani
Mabao 4
Yote Ligi Kuu
Mabao 4
Yote Ligi Kuu
NB: Mchezo wa Jumapili Oktoba 16, 2016 utakuwa wa tano kuchezwa katika mwezi huo.
1. Okt 15, 2008
Azam 1-3 Yanga
Azam 1-3 Yanga
2. Okt 17, 2009
Yanga 1-1 Azam
Yanga 1-1 Azam
3. Okt 23, 2010
Yanga 0-0 Azam
Yanga 0-0 Azam
4. Okt 17, 2015
Yanga 1-1 Azam
5. Okt 16, 2016?
Yanga 1-1 Azam
0 comments:
Post a Comment