Sunday, October 16, 2016

KRC Genk anayekipiga Mbwana Samatta, imeshindwa kutamba ugenini baada ya usiku wa kuamkia leo baada ya kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 ugenini na Royal Excel Mouscron huko katika dimba la Stade Le Canonnier.

Royal Excel Mouscron ndiyo walianza kupata bao baada ya Mshambuliaji wake wa Kimataifa wa Misri, Mohammed Trezeguet,kufunga bao la kuongoza katika dakika ya 2 ya mchezo.

Dakika ya 32 Nikos Karelis aliisawazishia bao KRC Genk baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Alejandro Pozuelo. Iliwachukua Royal Excel Mouscron dakika kumi tu kukalia tena kiti cha uongoza baada ya Valentine Viola kufunga bao la pili katika dakika ya 42.

Katika dakika ya 78 pasi safi ya Mbwana Samatta aliyekuwa ameingia uwanjani akitokea benchi ilimkuta Nikos Karelis akiwa katika nafasi nzuri na kuisawazishia KRC Genk na kufanya mchezo uishe kwa sare ya mabao 2-2.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video