Sunday, October 16, 2016



LIGI kuu Soka Tanzania Bara imeendelea leo kwa mechi nne kuchezwa katika Miji ya Dar es salaam, Morogoro, Mwanza na Pwani.
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam, Azam FC wametoka suluhu (0-0) dhidi ya Mabingwa watetezi, Young Africans.
Mchezo huu ulivuta hisia za mashabiki wengi hususani wa timu hizo mbili kila mmoja akiaamini klabu yake itashinda, lakini wamegawana pointi Moja.
Huko Manungu Turiani Mkoani Morogoro, Mtibwa Sugar wametoka suluhu pia (0-0) na Maafande wa Tanzania Prisons.
Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, Toto African wamechapwa 2-1 na Majimaji FC ya Songea.
Ruvu Shooting walikuwa na kibarau dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Mabatini, Pwani na Maafande hao wa Jeshi la Kujenga Taifa wamewachapa Wanakoma Kumwanya 1-0.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video