MATOKEO YA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018 KANDA YA ULAYA
ULAYA – KOMBE LA DUNIA 2018
Alhamisi Oktoba 6
KUNDI D
Austria 2 Wales 2
Moldova 0 Serbia 3
Republic of Ireland 1 Georgia 0
KUNDI G
Italy 1 Spain 1
Liechtenstein 0 Albania 2
Macedonia 1 Israel 2
KUNDI I
Iceland 3 Finland 2
Kosovo 0 Croatia 6
Turkey 2 Ukraine 2
..........
Italy na Spain Usiku wa jana zimetoka Sare ya 1-1 katika Mechi yao ya Kundi G la Nchi za Ulaya kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia za huko Russia Mwaka 2018 iliyochezwa huko Juventus Stadium Jijini Turin Nchini Italy.
Hii ni Mechi ya Pili kwa Timu hizi baada ya Spain kushinda 8-0 dhidi ya Liechtenstein na Italy kuichapa Israel 3-1.
Mechi hii ilikuwa 0-0 hadi Haftaimu na Spain kufunga Dakika ya 55 kupitia Vitolo baada ya kosa la Kipa Gianluigi Buffon na Italy kusawazisha kwa Penati ya Dakika ya 82 ya Daniele De Rossi.
JE WAJUA?
-Ulaya itakuwa na Nafasi 13 kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia
-Washindi wa Makundi 9 watatinga moja kwa moja Fainali za Kombe la Dunia
-Washindi wa Pili 8 wa Makundi watacheza Mechi za Mchujo kupata Washindi Wanne kwenda Fainali za Kombe la Dunia
......................
Mechi hizi za Makundi zinaendelea Leo Ijumaa na kwenye Kundi A, France ambao walianza kwa Sare ya 0-0 na Belarus, watakuwa kwao kucheza na Bulgaria walioanza kwa ushindi wa 4-3 dhidi ya Luxembourg.
Mabingwa wa Ulaya Portugal pia wapo dimbani wakiwa kwao kucheza na Andorra wakitaka kujiweka sawa baada ya kupigwa Mechi yao ya kwanza 2-0 na Uswisi.
Mechi hizi za Kanda ya Ulaya kwa Kipindi hiki zitakamilika Jumanne Oktoba 11.
VIKOSI:
Italy: Buffon; Barzagli, Bonucci, Romagnoli; Florenzi, Parolo, De Rossi, Montolivo, De Sciglio; Eder, Pellè
Akiba: Donnarumma, Perin, Darmian, Ogbonna, Astori, Candreva, Verratti, Bernardeschi, Bonaventura, Immobile, Gabbiadini, Belotti
Spain: De Gea; Carvajal, Ramos, Pique, Alba; Busquets, Koke, Iniesta; Vitolo, Silva; Costa
Akiba: Rico, Reina, Nacho, Sergi Roberto, Sergio Ramos, Martinez, Thiago Alcantara, Ander Herrera, Isco, Morata, Callejon, Lucas Vazquez, Nolito
REFA: Felix Brych (Germany)
ULAYA – KOMBE LA DUNIA 2018
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
Ijumaa Oktoba 7
KUNDI A
France v Bulgaria
Luxembourg v Sweden
Netherlands v Belarus
KUNDI B
Hungary v Switzerland
Latvia v Faroe Islands
Portugal v Andorra
KUNDI H
Belgium v Bosnia-Herzegovina
Estonia v Gibraltar
Greece v Cyprus
Jumamosi Oktoba 8
KUNDI C
1900 Azerbaijan v Norway
Germany v Czech Republic
Northern Ireland v San Marino
KUNDI E
1900 Armenia v Romania
1900 Montenegro v Kazakhstan
Poland v Denmark
KUNDI F
1900 England v Malta
Scotland v Lithuania
Slovenia v Slovakia
Jumapili Oktoba 9
KUNDI D
1900 Wales v Georgia
Moldova v Republic of Ireland
Serbia v Austria
KUNDI G
1900 Israel v Liechtenstein
Albania v Spain
Macedonia v Italy
KUNDI I
1900 Finland v Croatia
1900 Ukraine v Kosovo
Iceland v Turkey
Jumatatu Oktoba 10
KUNDI A
Belarus v Luxembourg
Netherlands v France
Sweden v Bulgaria
KUNDI B
Andorra v Switzerland
Faroe Islands v Portugal
Latvia v Hungary
KUNDI H
Bosnia-Herzegovina v Cyprus
Estonia v Greece
Gibraltar v Belgium
Jumanne Oktoba 11
KUNDI C
Czech Republic v Azerbaijan
Germany v Northern Ireland
Norway v San Marino
KUNDI E
1900 Kazakhstan v Romania
Denmark v Montenegro
Poland v Armenia
KUNDI F
Lithuania v Malta
Slovakia v Scotland
Slovenia v England
0 comments:
Post a Comment