Friday, October 14, 2016

Taarifa za uzushi wa "KIFO" changu jana, Oktoba 13 zilizotumwa na kusambazwa katika mitandao ya kijamii tayari zimesababisha athari kubwa kwa familia!
Taarifa nilizozipata asubuhi hii ni kwamba, dada yangu mkubwa aliyezaliwa mwaka 1948 mara baada ya kupata taarifa hizi alizirai, akakimbizwa Zahanati akawekwa mapumziko.
Alipopata taarifa mpya kwamba, sijafa haamini, anataka niende Musoma anione!
Tuwe makini, tutoe taarifa zilizosahihi mitandaoni!
By Masau Bwire
Msemaji wa Ruvu Shooting

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video