Sunday, October 9, 2016

 Leo ni birthday ya beki kisiki wa kati wa Yanga Kelvin Patrick Yondani. Watu mbalimbali wakiwemo wapenzi, mashabiki wa soka nchini na bila kusahau wachezaji wenzake wamemtakia heri katika siku yake hii maalum.

Thabani Kamusoko ni moja ya wachezaji waliomtakia heri Kelvin Yondani.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kamusoko ameandika hivi: "Happy born day to the Tanzanian legend @kelvin_yondani my team mate and also a brother to me.... Wish you many more years to come bro... can i get 5000 likes for this legend

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video