Friday, October 14, 2016

 LIGI kuu ya soka ya Hispania, La Liga, inarejea kuanzia leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo Las Palmas wanaikaribisha Espanyol kuanzia saa tatu dakika 45 kwa saa za Afrika Mashariki.
Hapa chini ni Ratiba nzima ya La Liga Wikiendi hii:
 Mpaka sasa Atletico Madrid wanaongoza kwenye msimamo wakiweka kibindoni pointi 15 katika mechi 7 walizocheza, wakishinda 4 na kutoka sare 3.
Real Madrid wanashika nafasi ya pili wakiwa na pointi 15 walizovuna kwenye  mechi 7, wakishinda 4 na kutoka sare 3, lakini wamezidiwa wastani wa mabao ya kufunga na kufungwa.
Nafasi ya tatu wapo Sevilla na Mabingwa watetezi, Barcelona wako nafasi ya nne.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video