Thursday, October 20, 2016

 Mzee Akilimali ni moja ya watu wanaopinga kwa udi na uvumba Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji kukodishiwa timu akidai timu hiyo haiwezi kukodishwa kutokana na utaratibu huo kwenda kinyume na matakwa yao.

Alienda mbali zaidi kwa kusema Yanga haiwezi kukodishwa kama yanavyokodishwa masufuria kwaajili ya shughuli!

Hapa chini ni baadhi ya risiti zikionyesha kiasi cha pesa alichokuwa akichukua klabuni kiujanja janja kwa kigezo kuwa ni kwa ajili ya kamati ya ufundi!

Sasa katika hali halisi ikiwa Manji atakodishiwa timu, basi umate huu wote hatakuwa akiupata tena, ndiyo sababu anapinga kwa udi na uvumba.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video