Friday, October 14, 2016

BAADA ya kupisha mechi za kuwania Kufuzu Kombe la Dunia Mwaka 2018 Nchini Urusi, Ligi mbalimbali Duniani zinarejea Wikiendi hii.
Uhondo wa Ligi maarufu zaidi Ulimwenguni ya English Premier League (EPL) unaanza kesho (Jumamosi).
Mechi ya mapema itaanza saa nane na nusu kwa saa za Tanzania kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City.
Baadaye Majira ya saa 11:00 Jioni Arsenal wataikaribisha Swansea City na Manchester City wataikabili Everton.
Hapo chini ni Ratiba nzima ya michezo ya kesho na muda itakaoanza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video