Manchester
City imeanza kuonja uchungu wa kipigo baada ya kupoteza mechi yake ya
kwanza ya Ligi Kuu England kwa kupigwa mabao 2-0 na Tottenham.
Man
City inayonolewa na Kocha Pep Guardiola, ilionesha soka safi lakini
ikashindwa kuzuia kipigo cha mabao 2-0, huku beki wake Aleksandar
Kolarov akianza kwa kujifunga katika dakika ya 9.
Suprs waliendelea kuwa Man City presha kubwa hadi Dele Alli alipofunga bao la pili katika dakika ya 37.
Vijana
hao wa London waliokuwa nyumbani White Hart Lane, wangeweza kufunga bao
la tatu katika dakika ya 65, lakini penalti iliyopigwa na Erik Lemela
ikaokolewa na kipa Bravo kwa ufundi mkubwa.
MATOKEO YA MECHI ZOTE
0 comments:
Post a Comment