Kuelekea 'Kariakoo Derby' kati ya Yanga na Simba inayotarajia kuanza saa 10:00 Jioni ya leo, Mshambuliaji hatari wa zamani wa Simba anayecheza soka la Kulipwa nchini Denmark, Emmanuel Anord Okwi, ametuma salamu kwa wachezaji wenzake wa zamani, Said Ndemla na Ibrahim Ajib pamoja na wanandinga wengine wa Simba. (Pichani juu)
Saturday, October 1, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment