Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC,
leo kimeendelea kujifuakabla ya kuikabili
Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga Jumatano ya wiki Ijayo (Oktoba 12, Mwaka huu).
Kocha mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez, anafanyia kazi makosa yaliyojitokeza kwenye mechi ya Mwishoni Mwa Juma lililopita ambapo timu yake ilitoka sare ya 2-2 na Ruvu Shooting.
0 comments:
Post a Comment