Chelsea wamerejea katika njia za kushinda kwenye mitanange ya Ligi kuu ya Soka ya England baada ya Wabrazil wawili,Willian na Diego Costa kuifungia mabao mawili kwa bila dhidi ya Hull City.
Huenda Conte anakunywa mvinyo usiku huu kwa mafanikio ya kubadilisha mfumo akimuacha nje beki wake kisiki Branislav Ivanovic.
Conte alianza na mfumo wake anaoupenda wa mabeki wawili wa kati, huku Victor Moses na Marcos Alonso wakicheza winga na Ivanovic aliachwa kwa mara ya kwanza kwenye mechi ya EPL tangu msimu wa 2011-12.
MATOKEO YA MECHI ZOTE EPL LEO

0 comments:
Post a Comment