Beki wa zamani wa Aston Villa, Antonio Luna, ameomba radhi kufuatia kuvuja kwa mkanda wa video ukimuonesha yeye akifanya mapenzi na mwanamke.
Kipande kifupi cha video kimeonekana mtandaoni kikimuonesha yeye Luna akiwa na mwenzake Sergio Enrich wakifanya mapenzi na binti mdogo.
Luna na Enrich wameomba radhi kwa video hiyo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Wawili hao kwasasa wanacheza soka katika klabu ya Eibar ya Hispania.
Luna aliichezea mechi 18 Aston Villa kati ya mwaka 2013 na 2014 ambapo alijiunga nayo kwa dau la paundi milioni mbili akitokea Sevilla, kabla ya kuondoka na kujiunga kwa mkopo na timu za Verona na Spezia.
Mwaka Jana alipata mkataba wa kudumu katika klabu ya Eibar.
0 comments:
Post a Comment