Sunday, October 16, 2016

Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Yanga umeshuhudiwa ukimalizika bila timu hizo kufungana.

Mchezo huo ulikuwa ni wa tisa kwa upande wa Azam wakati kwa Yanga ni mchezo wa nane. Yanga imeongeza idadi ya michezo ambayo wametoka sare na kufikisha mechi tatu ambazo wametoka sare huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja wakati  na kushinda mechi nne Azam nao wametoka sare katika mechi tatu wamefungwa tatu na kushinda tatu.

Yanga ilipata ushindi wake wa mwisho kwenye mchezo wa Jumatano iliyopita kwa kuifunga Mtibwa Sugar goli 3-0 wakati Azam ushindi wao wa mwisho ulikuwa September 10, 2016 walipoifunga Mbeya City 2-1 uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa VPL ikiwa na pointi 15 sawa na Mtibwa Sugar pamoja na Kagera Sugar lakini zikitofautiana nafasi kutokana na magoli ya kufunga na kufungwa wakati Azam wenyewe wapo nafasi ya saba kwa pointi zao 12 baada ya mechi 9

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video