Wednesday, October 12, 2016

AZAM FC wameendelea kuwa matokeo ya kusuasua baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mwadui FC, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Katika mchezo huo uliokuwa wa vuta nikuvute kwa pande zote mbili, Azam waliingia uwanjani wakisaka ushindi kwa udi na uvumba kutokana na kuwa na matokeo yasiyoridhisha kwenye michezo ya nyuma.

Dakika ya 27 mpira ulisimama kwa muda kufuatia mshambuliaji wa Stand United Abasalim Chidiebere kuumia vibaya hali iliyopelekea kubebwa kwenye ambulannce na kukimbizwa hospitali.

Dakika ya 19 Azam FC walifanya shambulizi kali langoni mwa Stand kufautia krosi iliyochongwa na Ya Thomas ambayo ilipapanguliwa vibaya na kipa na Himid kupiga shuti lililodakwa tena na kipa wa Stand.

Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika, timu zote zilikuwa hazijafungana.

Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kucheza soka la nguvu ili kutafuta bao la kuongoza na ndipo Stand United walipopata bao dakika ya 52.

Matokeo yalibaki hivyo mpaka dakika tisini za mchezo zinamalizika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video