
WACHEZAJI wetu walipokuwa wakifanya leo asubuhi katika uwanja wa Gymkhana, Yanga imekuwa ikiutumia uwanja huu kwa muda sasa huku ikilazimika kuulipia!tayari Manji na baraza la wadhamini wamefikia makubaliano ya kujenga uwanja mbali na eneo la kaunda.
0 comments:
Post a Comment