MSHAMBULIAJI wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, John Raphael Bocco ndiye kinara wa ufungaji wa mabao ligi kuu soka Tanzania Bara mpaka sasa.
Bocco amezamisha kambani mabao matatu katika mechi nne alizocheza, akifuatiwa na Laudit Mavugo alifunga matatu pia kwenye michezo minne aliyokipiga na timu yake ya Simba, lakini Bocco anakuwa juu yake kwasababu ya Tofauti ya Alphabeti ya mwanzo.
Laudit Mavugo |
WAFUNGAJI 10 BORA
NA
|
JINA
|
TIMU
|
IDADI YA MAGOLI
|
MECHI ALIZOFUNGA
|
1
|
John Bocco
|
Azam FC
|
3
|
Azam 1-1 African Lyon-Bao Moja
Azam FC 3-0 Maji Maji-Mabao mawili.
|
2
|
Laudit Mavugo
|
Simba SC
|
3
|
Simba 3-1 Ndanda-Goli Moja
Simba 2-1 Ruvu Shooting-Bao Moja
Simba 2-0 Mtibwa Sugar-Bao Moja.
|
3
|
Raphael Alpha
|
Mbeya City FC
|
3
|
Mbao 1-4 Mbeya City-Mabao mawili
Mbeya City 1-2 Azam-Goli Moja
|
4
|
Abdulrahman Mussa
|
Ruvu Shooting
|
2
|
Simba 2-1 Ruvu Shooting-Goli moja
Ruvu Shooting 1-0 JKT Ruvu-Bao moja.
|
5
|
Amissi Tambwe
|
Yanga SC
|
2
|
Yanga 3-0 Maji Maji-Magoli mawili
|
6
|
Deus Kaseke
|
Yanga SC
|
2
|
Yanga 3-1 African Lyon-Bao Moja
Yanga 3-0 Maji Maji-Goli moja
|
7
|
Ibrahim Hajib
|
Simba SC
|
2
|
Simba 2-1 Ruvu Shooting-Bao moja
Simba 2-0 Mtibwa Sugar-Bao moja
|
8
|
Rashid Mandawa
|
Mtibwa Sugar
|
2
|
Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC-Bao moja
Maji Maji 1-2 Mtibwa Sugar-Bao Moja
|
9
|
Abdallah Seseme
|
Mwadui
|
1
|
Mbao 0-1 Mwadui-Bao moja
|
10
|
Adam Kingwande
|
Stand United
|
1
|
Stand United 1-0 Toto African-Bao moja
|
0 comments:
Post a Comment