Thursday, September 1, 2016

Kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA Gold Mine ya Bulyanhulu ya mkoani Shinyanga imevunja rasmi mkataba wa kuidhamini klabu ya Stand United.
Stand United ilikuwa klabu yenye udhamini mnono zaidi kwa kuwa ilikuwa ikiingiza kitita hadi Sh bilioni 1.2 kwa mwaka.
ACACIA imeamua kuvunja mkataba huo kwa kwa muda uliosalia baada ya mgogoro mkubwa wa kiuongozi ulioibuka kwenye klabu hiyo.
 ACACIA imeamua kujitoa ili kukwepa migogoro hiyo hali ambayo huenda ikasababisha mzigo mzito kwa waliochukua timu na ikawa vigumu kuiendesha kama walivyotarajia.
July 8, 2015, ACACIA walitia saini kuidhamini klabu ya Stand United kwa mkataba wa miaka miwili unaotajwa kufikia thamani ya shilingi za Tanzania bilioni 2.4.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video