LIGI kuu ya Soka ya England (EPL) imeendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo Swansea City wametoka sare ya mabao 2-2 na Chelsea ya Antonio Conte.
Diego Costa alianza kuiandikia Chelsea bao la kuongoza dakika ya 18, lakini dakika ya 59, Gylfi Sigurdsson alichomoa na kuweka mambo sawa kama sahani na kahawa.
Dakika ya 62, Leroy Fer akafunga goli la kuongoza kwa Swansea,
hata hivyo dakika ya 81, Costa akawaokoa The Blues
kwa kufunga bao la kusawazisha.
0 comments:
Post a Comment