Saturday, September 10, 2016

Fabio Coentrao alimpiga Tobo ya aina yake Cristiano Ronaldo katika mazoezi ya Real Madrid yaliyofanyika jana Uwanja wa mazoezi wa  miamba hiyo ya soka la Hispania, Valdebebas.
Wakati nyota wa Real Madrid wakipasha, walianza kucheza mchezo wa kupigana matobo na Ronaldo alijikuta akiwa muathirika baada ya Coentrao kumuonesha maufundi.
Ronaldo ni mtu mwenye wivu, lakini alionekana kama haina shida kwake kupigwa Tobo na beki mdogo kama Coentrao, akajifanya kuchukua dawa yake na kuchukulia poa kama vile hakuna kilichotokea, lakini ukweli hakuwa na furaha.
Watu waliokuwepo kushuhudia mazoezi hayo pamoja na wachezaji wenzake, walishtushwa na Tobo hilo kali.
CHEKI VIDEO HAPO CHINI:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video