Thursday, September 15, 2016

Msafara wa wachezaji na viongozi wa Yanga ukipanda daladala maalum za kukodi kwaajili ya kuelekea hotelini kupumzika.

 Msafara huo umetua salama jijini Mwanza kwa usafiri wa ndege ukitokea jijini Dar es Salaam. 

Taarifa zinaeleza kwamba mara baada ya msafar huo kuwasili, basi ambalo lilipaswa kuwachukua lilikuwa halijafika na ndipo uongozi ulipoamua kukodi daladala hizo maarufu kwa jina la Kipanya ili kuzuia kukaa muda mrefu airport na kuelekea hotelini kupumzika wakisubiri basi la timu liwapeleke Shinyanga ambapo watacheza na timu za Mwadui na Stand United.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video