Thursday, September 29, 2016

Beki wa kati wa Manchester United Muivory Coast Eric Bailly ameonekana na viburungutu vya bahasha zilizojaa pesa kama alivyopigwa picha na mwandishi wa DailyMail wakati alipokuwa akitoka kwenye benk ya Barclays.

Bailly anaripotiwa kulipwa kiasi cha paundi 75,000 kwa wiki kunako klabu hiyo.
Bailly akiwa na dereva aliyemleta wakati anaenda kuchukua kitita cha fedha.

Akirudi kwenye gari tayari kwa harakati nyingine.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video