Balotelli ametoa mpya baada ya kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa moja ya vituo vya TV vya nchini Ufaransa huku akichuliwa (massage).
Mtangazaji alimuuliza: 'Umefunga magoli mawili kwenye mechi yako ya kwanza, ni jambo la kushangaza eeh? Balotelli akajibu "Asante," kabla ya kuficha uso wake.
Quand tu mets "ANGLAIS COURANT" sur ton CV et que le recruteur te test. #OGCNOM #Paganelli @canalplus @CanalFootClub pic.twitter.com/P1YSCfapgk— Sam (@Sam_arbn) September 11, 2016
0 comments:
Post a Comment