Wednesday, September 7, 2016

Ufaransa imeanza kampeni za kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa kusuasua baada ya kulazimishwa suluhu na Belarus, mchezo uliopigwa jijini Barysaw.

Olivier Giroud, Antoine Griezmann na Raphael Varane wote kwa nyakati tofauti walikaribia kufunga lakini juhudi za vijana hao wa Didier Deschamps ziligonga mwamba.

Matokeo hayo yamewapelekea kushindwa kupata ushindi wao wa 16 kwenye michezo 19 iliyopita.

Kikosi cha Ufaransa kilichoanza kwenye mchezo huo kilikuwa na wachezaji watano ambao walianza kwenye fainali ya Euro 2016 dhidi ya Portugal.

Lakini vijana hao wa Aleksandr Khatskevich waliokamaa nao na kuhakikisha hawapati goli kabisa.

Clean sheet hii inakuwa ya saba kwenye michezo nane iliyopita na matokeo haya yanaashiria kwamba wamepoteza mchezo mmoja kati ya nane ya mwisho.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video