
Lionel Messi jana ampepiga hat-trick kwenye ushindi wa magoli 7 Barcelona ikiifumua Celtic ya Scotland.
Magoli mengine yalifungwa na Suarez (2), Neymar na Iniesta. Magoli hayo yamemfanya kufunga hat-trick ya sita katika kwenye Champions League tangu aanze kucheza soka.
0 comments:
Post a Comment