Saturday, September 17, 2016

Beki wa kushoto wa timu ya Simba SC Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' ameshinda tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Agosti, 2016.

Zimbwe Jr almaarufu Tshabalala amekuwa moja ya wachezaji wenye mchango mkubwa kwenye timu hiyo akifanya majukumu mawili kwa wakati mmoja yaani kulinda na kushambulia.

Ubora wake umekuwa mchango mkubwa si tu kwenye klabu yake bali hata timu ya taifa, ambapo kwenye mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za Afcon dhidi ya Nigeria alionesha kiwango cha juu kilichowavutia mshabiki na wapenzi wengi wa soka nchini.

Katika taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa rasmi wa Facebook wa Simba inasoneka hivi: "Uongozi wa Simba unampongeza Zimbwe Jr kwa kuweza kushinda na kumsihi tuzo hii iwe chachu katika kuongeza juhudi katika kazi yake ya kucheza soka."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video