Thursday, September 1, 2016

Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Moussa Sissoko amethibitisha kujiunga na klabu ya Tottenham akitokea Newcastle United kwa mkataba wa miaka mitano.

Sissoko, 27, alikuwa ameonesha nia ya kutaka kuondoka Newcastle muda mrefu hasa baada ya klabu hiyo kushuka daraja na sasa amefanikisha azma yake.

Inaarifiwa kwamba Spurs, ambao walikuwa wakipigana vikumbo na Everton kumwania nyota huyo, wametoa kitita kinachokadiriwa kufika paundi mil 30

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video