Thursday, September 15, 2016

Tottenham Hotspurs wamefungua vibaya pazia la Michuano Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa na Monaco ya Ufaransa mabao 2-1.

Wakicheza Wembley ambapo wanatumia kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano hii, Spurs walijikuta wakiruhusu bao la mapema kabisa dakika ya 16 lilikofungwa na Bernardo Silva.

Monaco waliongeza bao la pili mnamo dakika ya 31 lililofungwa na Bernardo Silva.

Spurs walifanikiwa kupata goli lao pekee katika mchezo huo lililofungwa dakika ya 45 kupitia kwa Toby Alderweireld

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video