Friday, September 23, 2016

Ryan Giggs amekanusha taarifa za kuwa mbioni kujiunga na Swansea kufuatia kocha wa klabu hiyo Francesco Guidolin kuwa mbioni kutimuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu

Swansea watakuwa na kibarua kigumu mbele ya vinara wa EPL Manchester City kwa mara nyingine tena kesho, huku yakiwa yamepita masaa yaziyozidi 72 baada ya kukutana na kufungwa 2-1 kwenye Kombe la EFL.

"Sijazungumza chochote na Swansea City mpaka sasa, lakini kwa namna yoyote ile pale bado kuna meneja ambaye anafanya kazi yake," aliiambia talkSPORT.

"Nina furaha na maisha ya nje ya mchezo wa soka na naona fahari sana kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo vya habari.

"Lakini kwa kiasi fulani, sio siri ningependa kurejea tena kwenye soka kama kocha, lakini hiyo si kwa sasa hivi labda baadaye.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video