Uhusiano kati ya meneja wa Manchester United Jose Mourinho na Matteo Darmian umeingia, imeelezwa.
Mpaka sasa Darmian hajacheza hata kwa dakika moja kwenye mechi za mashindano chini ya kocha Mourinho kutokana Mreno huyo kupendelea kumtumia Antonio Valencia kama beki wake wa kulia chaguo namba moja.
Kwa mujibu wa Tuttosport Darmian hana nafasi kwa klabu hiyo chini ya kocha huyo mwenye mbwembwe nyingi.
0 comments:
Post a Comment