Jezi ambazo nyingi ni za Yanga zikiwa zimetundikwa na wauzaji kwenye moja ya maeneo yaliyo karibu kabisa na Nangwanda Sijaona tayari kwa kuuzwa kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Ndanda na Yanga utakaofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona leo majira ya saa 10:00 za jioni.
Yanga waliwasili mkoani Mtwara majira ya mchana na kufanya mazoezi yao ya jioni kwenye uwanja huo na kulakiwa na maelfu ya wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo
Muonekano wa Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwa ndani
Jiwe la Msingi la Uwanja wa Nangwanda Sijaona |
Jezi zikiwa zimetundikwa tayari kwa kuuzwa
0 comments:
Post a Comment