Wachezaji wa Azam FC wakiongozwa na Pascal Serge Wawa wakiwa na furaha kabisa wakati wakifanya mazoezi ya mwisho leo katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya tayari kukabiliana na Prisons kesho katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Tuesday, September 6, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment