Wachezaji wa Yanga wakiendelea na programu yao ya mazoezi kwenye viwanja vya Gymkhana kama kawaida kufuatia ligi kusimama kupisha michezo ya kimataifa. Yanga imetoa wachezaji tisa kwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo wachezaji wote waliosalia nakuendelea na programu ya mazoezi hawajaitwa kwenye timu zao za taifa.
Picha kwa hisani ya Young Africas SC
0 comments:
Post a Comment