Ashanti United SC inatarajia kucheza mchezo wake wa kwanza wa ufunguzi wa Ligi Daraja la Kwanza ambayo itaanza kutimua vumbi leo tarehe 23/9/2016.
Katika mchezaji huo wa ufunguzi, Ashanti United SC itacheza na Pamba FC ya Mwanza katika Uwanja wa Kumbumbu ya Sheikh Abeid Aman Karume, saa kumi jioni (4:00 pm).
Msemaji wa timu,
Rajab Marijani.
0 comments:
Post a Comment