Taarifa kwa Umma
Klabu ya Young Africans imefungua account mpya ya Istagram kwa jina " yangasc" baada ya account ya awali kuwa hacked na wahuni.
Klabu inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza lakini kwa heshima na taadhima ikiwaomba wadau wa soka , wanachama wa klabu hiyo pia mashabiki kuifuata account hiyo mpya kwa jina " #yangasc . Pia upande wa facebook official page ya klabu inakwenda kwa jina Young Africans SC ambayo kwa muda ilisimama na sasa imeanza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Mnaombwa ku " like " page hiyo kwa habari sahihi na za uhakika kutoka kwenye kurugenzi ya habari ya klabu.
Fuata link hii hapa chini kuupata ukurasa huo.
Imetolewa na kurugenzi ya habari ya ;
Young Africans SC
0 comments:
Post a Comment