Thursday, September 22, 2016

Luis Suarez ni moja ya wachezaji watukutu sana uwanjani ambaye ameshafanya matukio mengi ya utovu wa nidhamu yaliyopelekea kupewa adhabu mbalimbali zikiwemo kutumikia vifungo kwa nyakati tofauti.

Mara nyingi hapendi kuchezwa faulo lakini hupenda kufanya hivyo kwa wenzake.

Katika mchezo wa jana katika ya Barcelona na Atletico Madrid ambao uliisha kwa sare ya bao 1-1, Suarez alimchezea faulo mbaya beki wa kushoto wa Atletico Madrid Filipe Luis na kumsababishia jeraha mguuni.

Licha ya kuadhibiwa kutokana na tukio hilo, Filipe alionekana kukasirishwa na kitendo hicho na kuamua kupost picha ya mguu wenye jeraha iliyoambata na ujumbe wa kejeli kwa Suarez.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Fulipe aliandika hivi: “At least he didn’t touch me!” akimaanisha kwamba "Angalau hakunigusa!"

Kufuatia post hiyo, Suarez amejibu mapigo kwa kusema: " Football is for men. Everything stays on the pitch. If everyone uploaded what happens [on the pitch to social media accounts] the game would become a circus.

Akimaanisha kwamba: Soka ni mchezo wa kiume. Kila kinachotokea uwanjani kinabaki huko. Kama kila mtu angeamua kuweka mtandaoni kinachotokea uwanjani, basi mchezo huu ungekuwa sarakasi sasa.


A photo posted by Filipe Luís Kasmirski (@filipeluis) on

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video