Wednesday, September 7, 2016

Klabu ya Simba imetoa fursa adhimu kwa mashabiki wote wa klabu hiyo pamoja na wafanyabiashara wanaoweza kununua jezi zaidi ya 100 kuwasiliana moja kwa moja na klabu hiyo.

Kupitia ukurasa wao wa Facebook Simba wamesema:
"Ili kupata fursa adimu na adhimu ya kujiongezea kipato huku ukiijenga timu yako, klabu inakaribisha wafanyabiashara kutoka sehemu yoyote Tanzania wenye uwezo wa kununua kuanzia jezi 100 kuwasiliana nasi kupitia namba 0766842457 au barua pepe [email protected] ili kuweza kupata fursa hii ya kuuza bidhaa halisi za Klabu ya Simba."

"bidhaa halisi za Simba, Nunua bidhaa halisi za Simba. IJENGE TIMU YAKO."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video