Mechi ya Yanga dhidi ya Wanalizombe, Maji Maji FC, itakuwa Live kupitia Azam TWO kuanzia saa 10:00 Jioni.
Mwadui na Stand United itaonekana Live kupitia Azam Xtra wakati ile ya Mbeya City na Prisons itakuwa Live Azam ONE.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa michezo mitano ya Mzunguko wa Nne.
RATIBA IKO HIVI:
JKT Ruvu vs Ruvu Shooting -Uwanja wa Mabatini
Mwadui FC vs Stand United -Uwanja wa Mwadui Complex
Young Africans vs Majimaji ya Songea -Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Mbeya City FC vs Azam FC -Uwanja wa Sokoine
Ndanda FC vs Kagera Sugar ya Kagera-Uwanja Nangwanda Sijaona.
Ratiba ya Kesho (Septemba 11, 2016)
Simba SC vs Mtibwa Sugar FC- Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Tanzania Prisons vs Toto African-Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Mchezo uliokuwa uzikutanishe timu za African Lyon na Mbao FC hapo kesho umesogezwa mbele hadi Jumatatu Septemba 12, 2016.
Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Uhuru baada ya African Lyon kubadili uwanja kutoka Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume.
0 comments:
Post a Comment