Wakiwa uwanjani ni mahasimu wakubwa kutokana na kufundisha vilabu vikubwa na kuhofiana kwenye mbio za kuwania mataji makubwa.
Lakini Jose Mourinho, Zinedine Zidane, Carlo Ancelotti na Max Allegri walikuwa na nyuso za furaha na kuweka uhasimu wao pembeni na kupata wasaa wa kubadilisha mawazo wakati wa mkutano wa makocha wenye hadhi za juu ulioitishwa na UEFA nchini Uswisi.
0 comments:
Post a Comment