KIkosi cha Azam FC leo kimeendelea na mazoezi ya nguvu zaidi kwenye Uwanja wao wa Azam Complex uliopo Chamazi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Simba, utakaofanyika Uwanja wa Uhuru Jumamosi wikiendi hii.
Home
»
KITAIFA
» PICHA TANO- AZAM FC WAKIENDELEA NA MAKAMUZI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO DHIDI YA SIMBA WIKIENDI HII
Wednesday, September 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment