Jezi tofauti-tofauti lakini nyingi zikiwa za Yanga zikiwa zimetundikwa nje ya uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga tayari kwa kununuliwa na mashabiki watakaoudhuria kwenye pambano la Mwadui na Yanga litakalofanyika uwanjani hapo.
Muonekano wa Uwanja wa Kambarage kabla ya mashabiki kuingia uwanjani
0 comments:
Post a Comment