Saturday, September 10, 2016

Wachezaji wa Manchester City wakionekana wenye furaha tayari kwaajili ya pambano lao dhidi ya mahasimu wao Manchester United litakalopigwa Uwanja wa Old Trafford leo.
Vincent Kompany akionekana mwenye furaha kubwa baada ya kuelekea katika hatua za mwisho za kupona majeraha yake.
Pep Guardiola atakuwa na kibarua kizito dhidi ya hasimu wake Jose Mourinho
Claudio Bravo atakaa kwa mara ya kwanza kweye lango la Manchester City baada ya kusajili kutoka Barcelona
Ilkay Gundogan (wa pili kulia) anaweza kucheza leo
John Stones
Fernando, Fernandinho na David Silva wakiwa na nyuso za bashasha tayari kwa mchezo dhidi ya mahasimu wao katika Uwanja wa Old Trafford.
Sergio Aguero atakosekana baada ya kufungiwa michezo mitatu kufuatia kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko beki wa West Ham Winston Reid

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video