Zikiwa imebaki siku moja tu kabla ya mtanange mkali wa kukata na shoka kati ya Manchester United na Manchester City, bosi wa City Pep Guardiola jana alionekana kuwa bize kuwafua wachezaji wake tayari kwa kuwakabili mahasimu wao hao.
Jumamosi City watasafiri mpaka Old Trafford kuwafuata Man United mchezo utakaopigwa majira ya saa 8:30 mchana.
Derby hiyo ya Manchester derby itashuhudia Guardiola akiendeleza uhasimu wake dhidi ya Jose Mourinho kwa mara ya kwanza tangu walipokutana wakati Bayern Munich walipowafunga Chelsea kwa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa Super Cup Agosti 2013.
Kelechi Iheanacho akionesha vidole vyake angani kama ishara ya kushangilia kumshukuru Mungu endapo atafunga goli.
Pep Guardiola
Kipa mpya wa City Claudio Bravo
Nolito
0 comments:
Post a Comment