Mashabiki wa Yanga SC mkoani Mtwara wakimlaki mshambualiaji nyota Donald Dombo Ngoma wakati timu hiyo ilipoingia jana mkoani humo. Jioni ya leo majira ya saa 10:00 Yanga itashuka dimbani ikiwa ugenini katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona kukabiliana na Ndanda FC, mchezo ambao unatarajiwa kuwa na upinzani mkubwa kutokana na rekodi Ndanda kutowahi kufungwa na Yanga kwenye uwanja huo.
Wednesday, September 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment