Thursday, September 1, 2016




Hatimaye kipa namba moja wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’, amefanikiwa kumsitiri baba yake mzazi.
Dida alifiwa na baba yake ambaye aliugua muda mrefu. Jana wadau, ndugu, jamaa na marafiki upande wa mkoa wa Dar es Salaam walipata nafasi ya kumuaga.
Leo, mazishi yamefanyika matika eneo la Kibosho Munushi, Moshi mkoani Kilimanjaro.
Pia mjumbe wa kamati ya mashindano ya Yanga Athumani Kihamia Ticha aliiwakilisha Yanga katika mazishi leo.
Mjumbe huyo pia ni Mkurugenzi wa jiji la Arusha

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video