Friday, September 2, 2016

N'Golo Kante  ameweka wazi jinsi alivyokataa ofa ya kocha wa Manchester United, Jose Mourinho na kuamua kujiunga na Chelsea majira ya kiangazi mwaka huu.
Kiungo huyo wa Ufaransa alitua Stamford Bridge akitokea Leicester City kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 29, lakini alikuwa kwenye moyo wa Mourinho aliyekuwa akitaka saini yake.
N'Golo Kante, who played for France against Italy on Thursday night, turned down Man United
Kante amesema: "Ilinishangaza sana kuona simu ya Mourinho, lakini nilionywa mapema jinsi atakavyojitokeza kwangu"
"Nilisikiliza  hoja zake kwanini nijiunge United, lakini kwa wakati huo nilikuwa na kigugumizi kama naweza kubaki Leicester au kuondoka kwenda Chelsea.
"Majadiliano nao (Chelsea) tayari yalikuwa yameanza, lakini nilipozungumza nao, nilikuwa najisikia vizuri kuwa na (Antonio) Conte".
Kante was persuaded to join Chelsea by their new Italian manager Antonio Conte
Antonio Conte
Kante mwenye umri wa miaka 25 ameanza vyema maisha yake ya soka Chelsea ambapo alianza kwa kuisaidia timu hiyo kushinda dhidi ya West Ham, Watford na Burnley na kumfanya aanze kwa ushindi wa asilimia 100.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video