Saturday, September 3, 2016

Simba SC leo wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Dodoma, mchezo maalum wa kirafiki kwaajili ya kuinga mkono serikali kwa kuhamia Dodoma uliofanyika katika dimba la Jamhuri mjini Dodoma.

Katika mchezo huo, mabao yote mawili ya Simba yamefungwa na wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi katika kikosi cha kwanza, Said Ndemla na Abdi Banda.

Banda  alipatia Simba bao la kwanza baada ya kuunganisha  mpira wa adhabu ndogo uliochongwa na Mwinyi Kazimoto. 

Ndemla akaongeza la pili dakika ya 72 kwa shuti kali la mbali.

Simba wanatarajiwa kurejea jijini Dar es Salaam tayari kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting uliopangwa kupigwa siku ya Jumatano.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video